ULINZI WAIMARIKA WAKATI WANANCHI WAKIFURIKA SABASABA


Na Carlos Claudio Dar es Salaam.📍


Hali ya usalama imeendelea kuwa nzuri katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wananchi wanaingia kwa wingi kushiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba.


 Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuwepo katika maeneo mbalimbali ili kuhakikisha wageni wanapata huduma na kutembelea maonesho hayo kwa utulivu.

Previous Post Next Post