SABASABA YAVUTA UMATI, BIASHARA NA HUDUMA ZASHAMIRI


Na Carlos Claudio Dar es Salaam.📍


Wananchi kutoka maeneo mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. 


Maonesho hayo yamekuwa fursa kwa wageni kujifunza, kununua bidhaa, kupata huduma na kufahamu fursa mbalimbali za biashara, huku hali ya usalama ikiendelea kuwa shwari.

Previous Post Next Post