SABASABA YAPAMBA MOTO, WANANCHI WAENDELEA KUJITOKEZA


Na Carlos Claudio Dar es Salaam.📍


Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanaendelea kuvutia idadi kubwa ya wananchi wanaofika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 


Mbali na kushuhudia bidhaa na huduma mbalimbali, wananchi wanaendelea kutembelea mabanda ya taasisi na wafanyabiashara huku hali ya usalama ikielezwa kuwa shwari.

Previous Post Next Post