Na Carlos Claudio Dar es Salaam.📍
Maelfu ya wananchi wamefurika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kushuhudia Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea leo Julai 7, 2026.
Ulinzi umeimarishwa katika maeneo mbalimbali ya maonesho, hali inayowawezesha wageni kutembelea mabanda na kupata huduma kwa amani huku kundi la wananchi wakikata tiketi kuangalia wanyama.
Tags
HABARI KITAIFA
