ENG KIJA LIMBU NTEMI AAPA KUWAKILISHA WANANCHI WA KATORO BUNGE LA 13


Na Mwandishi Wetu, Dodoma.📍


Mbunge wa Katoro, Mhandisi. Kija Limbu Ntemi, ameapishwa rasmi leo Novemba 12, 2025, Jijini Dodoma, kuwa mwakilishi wa wananchi wa jimbo hilo katika Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Hafla ya kuapishwa kwake imefanyika mbele ya Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ambapo Mhandisi Ntemi ameahidi kulitumikia jimbo lake kwa uadilifu, ubunifu na uwazi.




🚨Full Video Inapatikana Katika YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post