CCM YAENDELEA NA KAMPENI ZA KISHINDO NJOMBE


 Njombe.

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.





🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post