TANZANIA, MSUMBIJI ZAWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA UCHUMI.


Na Mwandishi wetu, Msumbiji.


Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad alikutana na Mshauri wa Rais wa Msumbiji katika Masuala ya Uchumi na Maendeleo, Dkt. Mateus Magala na kuzungumza naye masuala mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Uchumi baina ya Tanzania na Msumbiji.



🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post