Dodoma.
Waziri wa Nchi,ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo aipongeza na kutambua mchango wa kamati ya kudumu ya Bunge ya bajeti kuwa chachu kwa wizara hiyo na kuchangia maendeleo.
🚨Full VIDEO inapatikana kwenye Instagram Page yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA