MWANAENZI AOMBA RIDHAA YA KUIWAKILISHA VIJANA ZANZIBAR BUNGENI



Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayewakilisha kundi la Vijana, Ndg MWANAENZI HASSAN SULUHU amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa katika nafasi ya  kugombea Ubunge wa viti maalumu kundi la vijana, visiwani Zanzibar.


Hatua hiyo ni sehemu ya mchakato wa ndani wa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ambapo wagombea mbalimbali wanaendelea kujitokeza kuwania nafasi za uwakilishi kupitia chama hicho tawala.


🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post