MABALOZI WA TANZANIA NA KENYA WAKUTANA NCHINI MSUMBIJI KUJADILI USHIRIKIANO.



Na Mwandishi Wetu, Msumbiji. 


 2025, Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad amekutana na Mhe. Philip Githiora, Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Msumbiji na kuzungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya.




🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post