Mhe. CP. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Msumbiji akutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Malek Djaoud, Balozi wa Jamhuri ya Algeria - Msumbiji kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo Jijini Maputo.
Katika mazungumzo yao, pamoja na masuala mengine, Mabalozi hao waligusia umuhimu wa kuendeleza mahusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na Msumbiji.
🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KIMATAIFA