Kampuni ya utengenezaji wa Games Rockstar imeachia rasmi Trailer ya Game linalosubiriwa kwa hamu kubwa, Grand Theft Auto VI (GTA VI), Ambalo limepangwa kuachiliwa rasmi May 26,2026.
GTA VI linatajwa kuwa ndio Game lililogharimu pesa nyingi kulitengeneza huku likikadiriwa kugharimu kiasi cha Dola za Kimarekani Bilioni 2.
🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
BURUDANI