Riri Na A$ap Rocky Watarajia Kupata Mtoto Wa Tatu (3) Pamoja. Riri Amethibitisha Hilo Baada Ya Kuonekana Akiwa Na Ujauzito Kwenye Onesho La Mavazi La MetGala Likilofanyika Usiku Wa Kuamkia Leo Jijini New York. Riri Na Asap Tayari Wana Watoto Wawili Ambao Ni RZA Aliyezaliwa May 2022 Na Riot Aliyezaliwa Agosti 2023.
🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
BURUDANI