QASSEM BASIR: FAHAMU KOMBORA JIPYA LA IRAN, JE KUITISHA MAREKANI?


 

CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES.


Waziri wa ulinzi nchini Iran alizindua kombora la masafa marefu lililoboreshwa.


Uzinduzi huo unajiri huku kukiwa na vitisho kutoka kwa Marekani kuhusu mpango wake wa kinyuklia huku taifa hilo likifanya majadiliano ya makubaliano ili kutatua mzozo huo.


Kombora hilo linashirikisha uboreshaji katika mwongozo na uwezo wake wa kukwepa rada pamoja na mifumo ya ulinzi ya angani.


Kombora hilo lilifanyiwa majaribio April 17 2025.


🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post