Mwl. Seif akutana na Vijana Mbande Kongwa! Awakusanya kwenye kujiandisha uchaguzi Mkuu 2025.
Mwalimu Seif Deus katibu mkuu wa zamani wa chama cha walimu nchini (Cwt), amewahimiza vijana wanaofanya biashara ya kuuza nyama katika kitongoji cha Mbande wilaya Kongwa mkoani Dodoma, kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2025.
🚨Full VIDEO inapatikana kwenye Instagram Page yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA