BALOZI HAMAD AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMHURI YA MSUMBIJI


Mhe. Balozi Hamad Khamis Hamad awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Daniel Francisco Chapo, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji tarehe 02 Mei 2025, jijini Maputo.





🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post