Nyota wa Uhispania cesc fabregas ametangaza rasm kustaafu soka cesc 36 amehudumu katk vilabu kadhaa ikiwem arsenal, barcelon, chelsea, monac na como amefanikiwa kucheza mech 518 za ngazi ya vilabu akifunga magoli 81 huku timu ya taifa akiicheza michezo 110 na upande wa mataji ameshinda takribani kila taji kubwa kwny ngazi ya vilabu na timu ya taifa.
world cup 1, euros 2, premie league 2, uefa super cup 1, europa leangu1, club's world cup1, la lig 1, community shield 2, fa cup2, english league cup 1, copa del rey 1, spanish super cup 2,
Tags
MICHEZO