CLUB YA YANGA YAJENGA HISTORIA NA BENK YA NMB

Na Samwel Erastus
Uongozi wa Clab ya Yanga kupitia benk ya CRDB umesema Wanachama wa Young Africans kuanzia Julai 5 wanaweza kufanya usajili wa uanachama kupitia matawi yake kote nchini na kupata kadi zao bila kutozwa gharama yoyote ya kadi ya TZS 5000 kwa muda wa mwezi mzima. 

Hayo yalisemwa Jana na uongozi wa wa Benk hiyo ambapo Mwananchi wametakiwa kuchangamkia fursa hiyo kwenye Tawi lolote la CRDB na Mawakala wake nchini,Boma Raballa, Afisa Mkuu wa Biashara crdbbankplc alisema.

Na Samwel Erastus 
"Kwa kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, leo tumeingia makubaliano na timu ya yangasc na kuwa benki ya kwanza nchini kuwawezesha mashabiki na wanachama wa Yanga kupata kadi za uanachama kupitia matawi yote ya NMB yaliyoenea nchi nzima. 

Baada ya kusaini makubaliano hayo ushirikiano wetu utalenga maeneo yafuatayo mbalimbali ikiwemo  mtandao mpana unaojumuisha matawi zaidi ya 228 kote nchini kufanya usajili wa wanachama na mashabiki wa yanga wakiwemo weny umri wa chini ya miaka 18. kadi hizi maalum zitakuwa na nembo za Yanga na NMB.

Pia mwanachama wa yanga atalipia sh.34000 kama kianzio cha kupata kadi(sh5000 ni malipo ya kadi, 5000 amana ya kuanzia sh24000 ni ada kwa mwaka.

Uongozi huo ulisema kadi za mashabiki ambao sio wanachama malipo yatakuwa sh.22000 tu(sh.5000 ni ya kadi amana ya kuanzia ni sh.12000 ada kwa mwaka,pia kadi hizi zina uwezo wa kufanya kazi kama kadi ya benki unaweza kufanya miamala yote kama kuiwekea pesa na kutoa hela ATM.

"Tutawezesha matawi ya Yanga zaidi ya 900 nchi nzima kutoa huduma za uwakala wa NMB.

Hata hivyo usajili huu utaanza rasmi julai 10, 2023 kwenye matawi yote ya NMB 

Previous Post Next Post