LIGI ya soka ya Chama Cha mpira wa miguu wilaya ya mpwapwa inatarajia kuanza kesho jumampi 10 2023 ambapo mechi zote zitachezwa katika uwanja wa Mgambo Studium wilayani humo
Akizungumza na Maulus Media Katibu Mkuu wa mashindano hayo Michael Irundaalisema Ligi hiyo imeandaliwa kwa ajili ya kuziweka timu teyali kushiriki mashindano ya ligi ya wilaya ili kutafuta washindi watakapo weza kuiwakilisha wilaya katika ligi ya mkoa.
Alisema mashindano hayo yäta jumuisha timu kumi ña moja ambapo mshindi wa kwanza hadi wa tatu watapata zawadi ya jezi mchezaji bora atapata kiatu mfungaji bora atapata mpira hivyo wachezaji wote wanatakiwa kujituma ilikuhakikisha wanaondoka ña zawadi zilizo andaliwa ña ch'ama Cha mpira wa miguu."
Wachezaji wote wanatakiwa kuzingazia sheria za mpira wa miguu ili kuepuka rungu La adhabu litakalo wa sababisha kusimamishwa kujihusisha ña masuala ya michezo." Lengo kubwa lakuanzisha mashindano haya nikiwa kumbusha wanamichezo nikiwa kumbusha kuwa msimu wa ligi umeanza pia kuwaburudisha jamii "alisema Irunda
Kwa upande wake Katibu wa timu ya cruster Haruna Mwaisongwa alisema wamejiandaa vizuri kushiriki vyema katika mashindano hayo ña watahakikisha wanaibuka ña ubingwa katika mashindano hayo.
Alisema wachezaji wao waña uwezo mkubwa ña hatuna hofu ya kupoteza katika ligi hiyo kwa sababu timu ambazo wanakwenda kukutna nazo si ngeni kwao kwahiyo tutakwenda kujizolea ushindi katika ligi hiyo.
Mwaisongwa alisema timu yao waliwahi kushiriki katika mashindano ya kimataifa ambayo yalifanyika Arusha wakaishia Robo Fainali pamoja ña mobanza mbalimbali ambayo yalikuwa yananumuisha timu za wiraya ya mpwapwa na waliweza kufanya vizuri.
"Tuna amini katika mashindano haya ni moja ya sehemu ya vijana wetu kuonyesha vipaji vyao kwa sababu michezo kwa sasa ni soko la ajila linalowatoa vijana ña kubadilisha maisha yao."
Ingawa tunakutana ña changamoto nyingi ikiwemo wazazi kutokutambua vipaji vya watoto wao pamoja vijana kukosa watu wakuwadhamini lakini licha ya changamoto hizo jamii pamoja ña serikali iliweza kutupatia eneo la kutengeneza uwanja utakao saidia katika masuala ya michezo kwa sababu sisi ni Accademy ña Ada yetu sh 40000 kwa mwezi lengo letu ni kuwa kuza vijana katika tathinia ya michezo"alisema Mwaisongwa