Na Sophia paul
Timu ya Yaung Afrika wanatarajia kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya kucheza mchezo wa fainali dhidi ya Azam utakaopigigwa majira ya 9:00 alasili katika dimba La Mkwakwani Tanga.
Akizungumza na Maulus Media shabiki wa timu ya yanga Juma omary alisema katika mchezo huo timu yao haina cha kupoteza katika fainali hiyo kutokana na ubora wa kikosi chao pamoja ña muunganiko mzima wa wachezaji.
Alisema mchezo utakuwa wa kukata na shoka ikiwa wababe hao wawili watakapokutana tarehe 12 mwezi wa sita(6) 2023 kwa ajili ya mtanange wa fainali hiyo."
"Macho na masikio kesho ni pale Mkwakwani Tanga watu wote mshuhudie nikili yanga atakufanyia Azam msikose uhondo wa fainali hii haipp urabuni ni hapa hapahapa Tanzania.
"Kwenye kombe hili hatutokubali tunyang'wanywe kombe mdomoni tutahakikisha tunawaunga Azam tunaondoka ña kombe ña tutawaacha machozi ya kiwabubujika" alisema omary
Kwa upande shabiki wa Azam Athuman Juma alisema timu yao imejipanga vizuri kutoa upinzani mkali katika mchezo huo ili kuhakikisha kuwa kombe linabakia mikononi mwao.
Alisema yanga siyo rahisi kufunga timu yao kutokana ña ubora ilio nao kwa sababu hawajajipanga kupoteza mchezo."
Kuna msemo unasema mbio za sakafuni huishia ukingoni kwa hiyo yanga mjipange vizuri mchezo ni k'ama sarafu inapande mbili ña dakika 90 zitaamua matokeo"alisema Juma