Hatimaye Wananchi watinga Final ya Azam Sport Federation Cup kwa msimu wa pili mfululizo,Msimu uliopita walichukua kombe hilo la Azam Federation Cup mbele ya Coastal Union kutoka Jijini Tanga Mchezo ambao Coastal Union walihitaji kuchukua Kombe hilo ila Wananchi, Young African wakachukua hilo la Azam Federation Cup akimnyang'anya Simba Sports Club kama bingwa mtetezi.
Yanga msimu huu wanatalajia kucheza dhizi ya Club ya Azam Fc kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Yanga hadi hivi sasa wanavikombe viwili ikiwemo Ngao ya jamii ambayo aliifunga mtani wake Simba Sports Club katika ufunguzi wa ligi kuu ya NBC na pia mpaka hivi sasa wanakombe la Ligi kuu Tanzania Bara NBC huku wakiwa na Final Mbili mkononi ambazo Kombe la shirikisho Barani Africa ambapo watakutana dhidi ya USM Aiger na Kombe la Azam Sports Federation Cup dhidi ya Azam Fc mchezo utakaochezwa katika Uwanja wa Mkwakwani Tanga.