YANGA SC WAIBUKA MABINGWA WA NBC PL 2022/2023

Klab ya Young Afrikan imemeendelea kutetea ubingwa wake kwa mara 29 wa ligi Kuu Tanzania Bara,NBC kufuatia mchecho uliochezwa leo Mei 13,2023 kaika uwanja wa Azam Complex Chamazi Jijini Dar es Salaam dhidi ya walima dhabibu kutoka Dodoma(Dodoma Jiji Fc).

Kufuatia ushundi wa leo Yonga imefikisha alama 74 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ,NBC ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.kwa maana hiyo rasmi sasa Yanga Sc mabingwa wa ligi kuu 2022/2023.

FT,Yanga 4-2 Dodoma Jiji 

Kennedy Musonda 39 Mdathir Yahayadakika 70:90,Farid Mussa dakika 88

Corlins Opare
dakika 59,Seif Karihe dakika 67 

Previous Post Next Post