Bungeni,📍
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, tayari amewasili Bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya 2026/2027. Hotuba hii inawasilishwa leo tarehe 24 Aprili, 2026.
@katibanasheria_
#Bungeni
#KatibaSheria
🚨Subscribe YOUTUBE Channel Yetu Ya WASHINDI MEDIA.

