Wananchi mbalimbali wakipatiwa elimu kwenye Banda la Shirika la mtandao wa jamii (TGNP ) katika kilele cha maonyesho ya nanenane leo Agosti 8,2025 Nzuguni Jijini Dodoma na kuonyeshwa mbegu za mazao mbalimbali zinazozalishwa na vikundi vya TGNP kupitia mradi wa Rural Women Cultivating Change ( RWCC)
Tags
HABARI KIMATAIFA