Na Carlos Claudio, Dar- Es- Salaam.
Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali Dodoma wakishiriki kumsindikiza mwenzao aliyekuwa mwandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi marehemu Sharon Sauwa wakati wa maziko yaliyofanyika nyumbani kwao Pugu jijini Dar es Salaam Agosti 21, 2025.
🚨Subscribe YOUTUBE Channel Yetu Ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA