Mkurugenzi wa Kampuni ya Damrkun Bi. Grace Chigongolo amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge katika Jimbo la Mpwapwa.
Bi. Chigongolo amekabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Bw. Denise Luhende ambapo anasubilia sasa kama atapitishwa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM).
🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA