TANZANIA NA MOROCCO ZAAHIDI USHIRIKIANO IMARA: MABALOZI WAKUTANA MAPUTO


Tarehe 27 Mei 2025, Mhe. CP Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, amekutana na Balozi wa Morocco, Mhe. Abdelali Rahali.


Wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za Ubalozi wa Morocco Jijini Maputo, mbali ya Mhe. Balozi Hamad kujitambulisha kwa Mhe. Balozi Rahali, Viongozi hao walikubaliana kushirikiana na kufanya kazi kwa ukaribu kwa maslahi ya Tanzania na Morocco.




🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post