TAARIFA YA KUPOTEA KWA MTOTO DODOMA.

 


FAMILIA YA MZEE ALLY KITUMBIKA ya Dodoma, Tunaomba kutoa taarifa ya kupotea kwa mtoto wetu kipenzi:


Jina kamili: MWANAIDI ALLY KITUMBIKA


Umri: MIAKA 14


Darasa: KIDATO CHA KWANZA


Shule anayosoma: AL-QAEM SEMINARY SECONDARY SCHOOL _(Ipo Dodoma)_


Tarehe ya kupotea: 22/04/2025


Mahali pa mwisho alipoonekana: NYUMBANI AKIELEKEA SHULE


Maelezo ya mavazi ya mwisho kuonekana nayo: SARE YA SHULE _(Juba jeupe, Nusu Kanzu Nyeupe na suruali ya Dark Blue)_


Mwanaidi aliondoka nyumbani Tarehe hiyo na hadi sasa hajarejea nyumbani. Juhudi za kumtafuta katika maeneo ya jirani, kwa ndugu na marafiki wa karibu na hospitali za karibu bado hazijazaa matunda.


Tunaomba sana ushirikiano wako endapo utamuona Mtoto wetu kwa kutoa taarifa polisi au kwa kuwasiliana na namba zifuatazo ⬇️


0763577258 - *MAMA*

0759469179 - *KAKA*

0743550002 - *KAKA*


🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post