IBADA YA PASAKA KITAIFA KUFANYIKA IFAKARA


 Ibada ya Pasaka Kitaifa ya inatarajiwa kufanyika kesho, Aprili 20, 2025, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Mtume, lililopo Jimbo Katoliki la Ifakara.


Ibada hii ni sehemu ya maadhimisho ya kitaifa ya Sikukuu ya Pasaka, yanayobeba jumbe wa matumaini, imani na mshikamano kwa waumini kote nchini.

Previous Post Next Post