Mjumbe wa Baraza Kuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Hilda Newton ameachiwa kwa dhamana katika kituo cha polisi cha Kati (Central Police station, Dar Es Salaam).
Wakili Jebra Kambole ambaye ameeleza waandishi wa habari kuwa Hilda ameachiwa majira ya saa moja jioni ya leo huku akieleza kuwa Hilda atahitajika kuripoti kituo cha polisi cha Central kila wiki kwa siku moja ya Jumatano.
🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA