Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya Mwaka 2026/2027 itasomwa Bungeni na Waziri wa Katiba na Sheria, @juma_zuberi_homera Ijumaa, tarehe 24 April 2026. Usikose kufuatilia!
#WizaraYaKatibaNaSheria
#HakiUsawaNaUtawalaWaSheriaKwaWote
Tags
BUNGE


