Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati alipokuwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi, Mkoani Singida leo Novemba 21, 2025.
🚨Subscribe YOUTUBE Channel Yetu Ya WASHINDI MEDIA
Tags
HABARI KITAIFA

