Na Carlos Claudio, Dodoma.
Leo ni siku ya kihistoria kwa wananchi wa Kata ya Ving’hawe, Wilayani Mpwapwa.
Emmanuel Rainard Ndule, kijana shupavu na kiongozi mwenye uzoefu wa muda mrefu katika jumuiya ya vijana wa CCM (UVCCM), amechukua rasmi fomu ya kugombea udiwani.
Ndule ambaye aliwahi kuwa mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Mkoa wa Dodoma (2017–2022) ameahidi mshikamano, maendeleo ya kweli na ushirikishwaji wa wananchi katika kila hatua ya safari ya maendeleo ya kata ya Ving’hawe.
Umoja wetu ndio ushindi wetu!
#CCM #Mpwapwa #Vinghawe #Ndulé2025
🚨Subscribe YOUTUBE Channel Yetu Ya WASHINDI MEDIA.
Tags
HABARI KITAIFA