ZANZIBAR NA MSUMBIJI KUIMARISHA USHIRIKIANO WA BANDARI


Zanzibar.

Mhe. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania Msumbiji amekutana na Ndg. Akif Ali Khamis, Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na kujadiliana namna Mamlaka zinazohusika na Usimamizi wa Bandari Msumbiji na Zanzibar zinavyoweza kushirikiana.



🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post