Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam.










O