BALOZI CP HAMAD KHAMIS HAMAD AKUTANA NA MAAFISA WA TRAFFIC INTERNATIONAL KUIMARISHA USHIRIKIANO DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NA MAZAO YA MISITU


 

Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad amekutana na Bi. Linah Clifford, Afisa wa Masuala ya Kisheria na Ushirikiano na Bw. Allan Mashalla - Meneja wa Mradi kutoka Shirika la Kimataifa la TRAFFIC International Afrika Mashariki (TZ) linaloshughulika na Masuala ya Udhibiti wa Biashara Haramu ya Wanyamapori na Mazao ya Misitu.


Maafisa hao wapo Jijini Maputo ili kukutana na wadau mbalimbali kwa lengo la kuimarisha ushirikiano baina yao.


🚨Subscribe YouTUBE Channel yetu ya WASHINDI MEDIA.

Previous Post Next Post