CHATANDA ASHIRIKI KIKAO CHA BODI YA USHAURI YA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA DODOMA



Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ambae pia ni Mjumbe wa Bodi ya ushauri ya Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma ameshiriki Kikao cha Bodi leo tarehe 10 Aprili, 2025.


#KaziNaUtuTunasongaMbele

Previous Post Next Post