Klabu ya Liverpool ya England imetoa tamko rasmi kuwa nyota wao Trent Alexander Arnold.
Atakosekana kwa kipindi cha wiki kadhaa kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata kufuatia majeraha hayo Trent huenda akaikosa baadhi ya michezo ambayo Liverpool wataicheza mwezi huu ambayoni,
Fulham 10th January,
Bournemouth 21th January,
Fulham 24th January,
Norwich/Bristol Rovers FA cup 27th January,
Chelsea 31st January.
Bila Salah, Trent na Robertson Majogoo wa London watatoboa?
Tags
MICHEZO